Bondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala Kimichezo Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu.
BASI LA ABOOD LAKAMATWA KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
-
•Zilifichwa zenye mfumo wa AC na maeneo mengine ya basi hilo
*Ni basi linalofanya safari kati ya Mombasa, Kenya na Dar es Salaam
Na Said Mwishehe,Michuzi...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment