Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima K.Haji, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
NMB Yagusa Afya na Elimu Njombe: RC Mtaka Aomba Mashine za Dialysis
Kupunguza Adha kwa Wagonjwa
-
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ameziomba taasisi za kifedha
kusaidia upatikanaji wa mashine za kusafisha damu — dialysis — katika
Hospitali ya R...
11 minutes ago

No comments:
Post a Comment