Washiriki wa Redds Miss Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kuwasili katika kambi yao ya mazoezi kujiandaa na shindano lao litakalofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya naura Spring jijini Arusha. Jumla ya waremo 11 wanatarajia kupanda jukwaa kuwania taji hilo.

No comments:
Post a Comment