Baadhi ya Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa Marehemu kuelekea Makaburini.
Rais wa Vilabu Vya Wanahabari Tanzania, Ken Simbaya (kushoto) na kulia ni mwanahabari mkongwe Chris Nyanyembe (kulia) wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu, aliyekuwa Mwandishi wa habari, Daud Mwangosi, wakati wakielekea makaburini kwa maziko kijijini kwao Rungwe, Mbeya leo.
Ibada ikiendelea makaburini wakati wa shughuli hiyo ya maziko.
Profesa Mark Mwandosya na mkewe wakiweka shada la maua. |
Mke wa marehemu, Daudi Mwangosi akilia kwa uchungu juu ya Kaburi la Marehemu Mumewe.
Watoto wa Marehemu wakiweka mashada ya maua.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa akiweka Shada la maua.
No comments:
Post a Comment