Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Sofapaka ya Kenya , Anthony Kimani, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo jioni. Katika mchezo huo, Sofapaka ilishinda 3-0. Picha na Dande Junior
Mfumo Mpya wa Kodi Kuleta Mapinduzi Makubwa ya Ukusanyaji wa Mapato Nchini.
-
Na Mwandishi Wetu
Hatua kubwa ya mageuzi ya kodi nchini imefikiwa kufuatia tangazo la kuanza
kutumika kwa mfumo mpya wa ukusanyaji wa kodi za ndani, hatua...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment