Mashabiki wa Yanga na Simba wakicheza kwa pamoja kufurahia zawadi ya mabasi mapya yaliyokabidhiwa kwa timu zao leo, baada ya Kampuni ya Bia Tanzania TBL kuvikabidhi klabu za Simba na Yanga mabasi mapya katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Habari : Serikali yasisitiza Usalama ,Mapato Mpakani Mutukula
-
Na Mwandishi Wetu,KAGERA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amehimiza ushirikiano
kati ya watumishi wa serikali waliopo katika Kituo ch...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment