Dear All Napenda kuchukua nafasi hii kulaani mauaji haya ya kinyama tena kwa mtu asiye na hatia, ikumbukwe kwamba mwandishi huyu alikwenda kufanya kazi si kushabikia siasa, mbaya zaidi picha mbalimbali za kwenye magazeti ya leo na mitaandao ya kijamii, zinaonyesha marehemu alishakuwa mikononi mwao, kulikoni tena akafanyiwa unyama huu. Inasikitisha sana Regards Leonard Magomba Bureau Chief East African Business Week Other Mail: magomba@gmail.com Website: www.busiweek.com
|
DKT. MSOWOYA AWATAKA WASOMI CHUO KIKUU CHA IRINGA KUJIEPUSHA NA NDOA ZA
REJAREJA
-
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Iringa, Dkt. Tumaini Msowoya,
amewataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Iringa kuwa makini
na mai...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment