Habari za Punde

*WADAU MAMBO YA FORODHANI MJINI ZANZIBAR HAYA USIPIME!!!!!!!!

Ukifika mjini Zanzibar bila kufika eneo hili la Forodhani kwa kweli utakuwa hujapata raha kamili ya vyakula vya asili na vya kila aina. Eneo hili utapata kitu kinaitwa Ulojo ambacho ndiyo hasa maalum kwa wenyeji wa mji huu na kivutio kwa wageni waliowengi ambao hupenda kujaribu kuonja ili kujua radha yake.
 Hapa inaandaliwa pizza kwa ajili ya wateja hawa (kulia).
 Hapa chagua mwenyewe utakacho, upendacho utaandaliwa.
 Hapa wafanyabiashara wa vyakula hivi wakiwa bize kukaribisha wateja.
Msosi huu ni miongoni mwa misosi ya bei ghari eneo hili.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.