| Bondia Allan Kamote wa Tanga TANZANIA akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa 'World Boxing Forum International Lightweight title' baada ya kumchapa kwa TKO bondia Wellington Balakasi, wa MALAWI katika pambano lililofanyika katika ukumbi wa Robins Park, Blantyre, Malawi, mwishoni mwa wiki iliyopita. |
KARIBU MONDULI, TUPO BEGA KWA BEGA NA SERIKALI
-
WANANCHI wa Jimbo la Monduli wamempokea kwa shangwe Mlezi wao wa Mkoa wa
Arusha ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) na kutuma
sa...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment