Mkurugenzi wa Bidhaa na Huduma za Reja reja wa
Barclays Tanzania, Zahid Mustafa (kulia) akizungumza katika hafla
waliyowaandalia wateja wao wakubwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa wa benki hiyo, Neema
Rwehumbiza na (kushoto) ni Meneja wa Kituo cha Premier, Sophia
Mang’enya. Barclays ilizindua huduma ya Premier Banking ya wateja
wakubwa Septemba 24 mwaka huu ambapo mteja huhudumiwa bila gharama
zozote za kuendesha
akaunti na kila mteja atapata kadi maalumu pamoja na meneja uhusiano atakayekuwepo wakati wowote kumpatia huduma na pia kupata fursa maalumu katika matawi yote yaliyopo ndani na nje ya nchi kuweza kujipatia mikopo hadi Milioni 70 kwa kipindi cha miezi 72.
akaunti na kila mteja atapata kadi maalumu pamoja na meneja uhusiano atakayekuwepo wakati wowote kumpatia huduma na pia kupata fursa maalumu katika matawi yote yaliyopo ndani na nje ya nchi kuweza kujipatia mikopo hadi Milioni 70 kwa kipindi cha miezi 72.
Mkurugenzi wa Bidhaa na Huduma za Reja reja wa
Barclays Tanzania, Zahid Mustafa (katikati) akizungumza katika hafla
waliyowaandalia wateja wao wakubwa jijini Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa wa benki hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi na wateja wakubwa wa benki ya Barclays Tanzania, wakiselebuka katika pati iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Barclays ilizindua huduma ya Premier Banking ya wateja wakubwa Septemba 24 mwaka huu ambapo mteja huhudumiwa bila gharama zozote za kuendesha akaunti na kila mteja atapata kadi maalumu pamoja na meneja uhusiano atakayekuwepo wakati wowote kumpatia huduma na pia kupata fursa maalumu katika matawi yote yaliyopo ndani na nje ya nchi kuweza kujipatia mikopo hadi Milioni 70 kwa kipindi cha miezi 72.
No comments:
Post a Comment