Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa
Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta
jambo na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, wakati Makamu alipofika
kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika
katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, mara
baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru,
uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, nje ya Ukumbi
wa Mlimani City, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi
wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam,
leo. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo, baada ya ufunguzi.
No comments:
Post a Comment