Bondia wa Namibia, Gottlieb Ndokosho, akinyanyua mkanda wa IBF Africa kwa furaha baada ya kumpiga Bondia wa Tanzania, Rajabu Maoja, na kutwaa mkanda huo katika pambano lao lililochezwa jana mjini Namibia.
Wasafi haiipingi Sheria ya Huduma za Habari, Diamond aipongeza JAB na
kuiunga mkono Serikali
-
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi wa Wasafi Media, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz, amesema
wazi kuwa Wasafi Media haina msimamo wa kupinga Sheria ya...
53 minutes ago

No comments:
Post a Comment