Baadhi ya abiria wakipanda treni ya TRL, kutoka Ubungo Maziwa kwenda
stesheni Dar
Wananchi wakiangalia uzinduzi huo.
Dkt. Mwakyembe akiwapungugia wananchi alipoteremka Buguruni, tayari kwenda
kuzindua usafiri wa treni ya Tazara
Wasanii wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Treni ya abiria Tazara
leo
Dkt. Mwakyembe akiangalia jinsi tiketi zinavyouzwa kwa mashine maalumu.
Dkt. Mwakyembe ndani ya Treni ya abiria ya Tazara.
Mmoja wa abiria akipata matibabu katika chumba kilichoandaliwa maalum kwa
ajili ya huduma ya kwanza ndani ya Treni ya Tazara.
Dkt. Mwakyembe na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Omar Chombo wakihudumiwa chai
ndani ya Treni ya Tazara.
Abiria wakifaidi usafiri wa Treni ya Tazara kutoka Stesheni ya Tazara
makao makuu hadi Pugu Mwakanga.
Mmoja wa abiria akipanda Treni ya Tazara katika kituo cha Moshi Baa jijini
Dar es Salaam. Nauli ya usafiri wa Tazara ni sh. 500 kwa mtu mzima na sh. 100
kwa mwanafunzi.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akipanda kwenye Treni jana
katika Stesheni ya Pugu Mwakanga wakati wa uzinduzi wa usafiri wa treni ya abiria
jijini Dar es Salaam kwa njia ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia
(Tazara).Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tazara, Damas Ndumbaro.
Abiria wakinunua tiketi za treni zinazouzwa kwa kutumia mashine
maalum.
No comments:
Post a Comment