Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia
saini katika kitabu cha maombolezo ya
msiba wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati
alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki
katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi
karibuni jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji
mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati
alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki
katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi
karibuni jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji ndugu wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Mwanza, marehemu, Liberatus Barlow, wakati
alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki
katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi
karibuni jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akitoa
heshima za mwisho na kuaga mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,
marehemu, Liberatus Barlow, wakati
alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki
katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi
karibuni jijini Mwanza.
Makamu, Dkt. Bilal (kushoto) Said Mwema na Kamanda Mstaafu, Mahita, wakiwa katika msiba huo.
No comments:
Post a Comment