Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL KATIKA MKUTANO WA 5 WA VIONGOZI WA NCHI ZA UKANDA WA MAZIWA MAKUU, AHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA UGANDA

 Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akihudhuria   Mkutano wa tano wa Viongozi Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu  uliofanyia kwenye Ukumbi wa Commonwealth  wa  Hotel  ya Munyonyo jijini Kamapala jana. Wengine kutoka kushoto ni Rais Paul Kagame wa Rwanda na Makamu wa Rais wa Sudan, Haji Adamu Yusufu  (Picha na Ofisi ya  Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal   na mkewe  Mama Zakia Bilal wakifuatilia  matukio  mbalimbali  wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka50 ya Uhuru wa Uganda kwenye Uwanja wa Kololo, jijini Kampala jana. Wengine kutoka kushoto ni Rais wa Somalia Hassan Shekhe Mahamoud  na Makamu Rais wa Sudan, Bwana  Haji Adam Yusufu.
 Rais Yoweri Museveni wa Uganda akimkaribisha, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwenye  sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda zilizofanyika jana kwenye Uwanja wa Kololo jijini Kampala,Uganda, jana.
Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gaharib Bilal (kulia)  akibadilishana mawazo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 yaUhuru wa Uganda. Sherehe hizo zimefanyika jana katika Uwanja wa Kololo jijini Kampala. Wanaoonekana nyuma yao  ni wake zao, Bibi Janneth Museveni (kulia) na Mama Zakia Bilal.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.