Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akiwahutubia wanawake Wajasiliamali, wakati wa Tamasha la Usiku wa Mwanamke
Mjasiliamali lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es
Salaam, jana usiku.
Mama Asha akisalimiana na baadhi ya wanawake wajasiliamali wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Serena Hoteli jana usiku.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, (wa nne kulia) Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu
Pinda (wa tatu kulia), wakijumuika na baadhi ya Kinamama kuserebuka kwa pamoja
wakati wa Tamasha la Usiku wa Mwanamke Mjasiliamali Tanzania, lililofanyika kwenye
Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam, jana usiku.
Baadhi ya wanawake Wajasilimali, waliohudhuria Tamasha hilo.
Baadhi ya Maofisa waalikwa kotoka Ofisi ya Makamu wa Rais, waliohudhuria Tamasha hilo, jana usiku.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, (wa tano kutoka kulia) akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wanawake Wajasiliamali wakati wa Tamasha la Usiku wa Mwanamke
Mjasiliamali Tanzania, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini
Dar Es Salaam, jana.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, Mke wa Waziri
Mkuu, Mama Tunu Pinda, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Terezya
Huvisa (kushoto) wakiwa Meza Kuu pamoja na baadhi ya viongozi wa Kamati ya
maandalizi ya Tamasha la usiku wa Mwanamke Mjasiliamali, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya
Serena jijini Dar Es Salaam, jana.
Baadhi ya Kinamama Wajasiliamali waliohudhuria Tamasha hilo, wakiserebuka kwa raha zao.
Hawa nao wakipozi kwa picha...
Hawa wakiimba na kushangilia....
Wengine ilipofika muda muafaka wa kujisevia hawakufanya utani...
Sehemu ya wajasiliamali wanawake waliohudhuria...
No comments:
Post a Comment