Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Kikwete, akifurahia burudani ya ngoma ya asili wakati akiwasili kwenye Uwanja wa KIA kwa ajili kuanza ziara ya mkoa wa Kilimanjaro.
Baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro, wakijipanga kusubiri kumpokea Rais Kikwete.
Rais Kikwete, akisalimiana na wananchi wakati alipowasili eneo hilo akiwa kaztika ziara yake ya mkoa wa Kilimanjaro.
Rais Kikwete, akiwahutubia wananchi wakati wa ziara yake ya mkoa wa Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment