Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Mpogolo atangaza vita dhidi ya madanguro Ilala
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametangaza msako mkali dhidi ya
madanguro na vitendo vya ukiukwaji wa maadili, akisisitiza kuwa Serikali
hait...
15 hours ago
No comments:
Post a Comment