Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dkt.Ad Koekkoek, wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kusalimiana na Rais.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Sherehe za siku ya Kiswahili duniani zafana nchini Algeria
-
BALOZI wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema lugha ya
Kiswahili inaendelea kukua na kuenea duniani ambapo sasa inazungumzwa na
watu ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment