Taasisi ya Lions Club ya jijini Dar es Salaam inaendesha zoezi la kukusanya michango ya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto wasio na uwezo wenye matatizo ya moyo kupata matibabu. Unaweza kutoa mchango wako hata kwa njia ya hundi kuiongezea nguvu Lions Club. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na Rais wa Lions Club Nimira Gangji kwa nambari +255715979966.
DIPLOMASIA YA SAMIA YAZIDI KUNG’ARA: MATAIFA YASAKA FURSA ZA USHIRIKIANO
TANZANIA
-
Ufanisi wa diplomasia ya uchumi inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita
chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan umezidi kudhihirika kufuatia mataifa...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment