Habari za Punde

*WLADIMIR KLITSCHO WA UKRAINE KUZICHAPA NA DAVID HAYE WA UINGEREZA MACHI 2013

Bondia Amin Saad Mabrook Bait-Saleem aka "Dagger" kutoka Sultani ya Oman anajiandaa  na pambano lake la awali litakalochezwa katika mpambano mkubwa kati ya Wladimir Klitscho toka Ukraine David Haye (Uingereza).

MBABE WA FRANCIS CHEKA TOKA OMAN HUYU HAPA,

 Wladimir Klitscho wa Ukraine


Mpambano huo ambao umepewa jina la "The Rumble in the Black Gold Kingdom" kutokana na Oman kutoa mafuta kwa wingi, sasa utafanyika Machi mwakani. Mpambano huu ni wa pesa nyingi kwa Francis Cheka kuliko pesa alizowahi kulipwa katika maisha yake ya Ngumi.
Swansong: David Haye (right) wants to fight Vitali Klitschko next year
Bondia David Haye wa Uingereza



Amin Saad Mabrook Bait-Saleem ni bondia aliyeanza kupigana ngumi akiwa mdogo katika Ghuba ya Uarabu na anayo rekodi ya mapambano 23 akiwa amepoteza mapambano mawili kwa points.



Mapambano yake yote yalifamyika katika Ghuba ya Uarabu chini ya chama cha United Arab Emirate Boxing Association (UABA) ambacho ni chama cha ngumi za ridhaa lakini pia kinasimamia mapambano ya ngumi za kulipwa.



Ukosefu wa rekodi za UAEBA unamfanya Amin aonekane kuwa hajapigana pambano lolote kama mtandao wa boxrec unavyoonyesha.



Mpambano huo utashirikisha pia mabondia wengine toka Afrika, Marekani, na Ulaya.
Bondia Nate Campbell wa Marekani



Bondia Nate Campbell wa Marekani atachuana vikali na bondia Isaac Hlasshwayo wa Afrika ya Kusini katika uzito wa Welter.
Bondia Isaac Hlasshwayo wa Afrika ya Kusini


Wakati bondia Manzur Ali kutoka Misri atachuana vikali na bondia Braimah Kamoko toka Ghana.

 
Bondia Braimah Kamoko toka Ghana.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.