Habari za Punde

*JANUARY, MWIGULU, SHIGEA WASIMAMIA KULINDA KURA ZAO ZA UNEKI WA CCM DODOMA



 Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela (kushoto) akifuatilia kwenda 'kuthibiti' kura zake zilipokuwa zikipelekwa kwenye chumba cha kuhesabia, baada ya kura hizo kupigwa.


 Januari Makamba na Mwigulu Nchemba na baadhi ya wagombea wengine, wakiwa kwenye chumba cha kuhesabia kura katika kinachoonekana kujaribu 'kulinda' kura zao. Wengine ni Vijana waliokuwa wanashughulika na upigaji kura huo.













 









SASA UMEKOMAA!  John Shibuda wa Chadema, akimwabia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakati waki-chati ukumbini wakati wa mkutano huo, kabla ya upigaji kura.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.