Habari za Punde

*KHALID CHOKORAA WA MAPACHA WA3 ANOGESHA ONYESHO LA MSONDO NGOMA


Mwimbaji wa bendi ya Mapacha Wa3, Khalid Chokolaa (kushoto) akiimba sambamba na wanamuziki wa bendi ya Msondo, Muhidini Gulumo, Juma Katundu na Shabani Dede. 


Mwimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma Romani Mng'ande (kushoto) akiimba na mwimbaji wa bendi ya Mapacha Wa3, Khalidi Chokoraa (kulia) wakati alipotembelea onyesho la bendi hiyo mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.