Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipoea zawadi kutoka kwa Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.