Habari za Punde

MWENYEKITI WA CCM JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI KUPIGA KURA YA KUMCHAGUA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, KIZOTA, MATOKEO KUTANGAZWA SAA MOJA HII

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, aliyemaliza muda wake, Jakaya Kikwete, akitumbukiza kura yake ya kumchagua Mwenyekiti, aliyepitishwa kuwania nafasi hiyo, ambapo jina la Jakaya lilipitishwa tena kuwania nafasi hiyo.
 Mjumbe wa CCM, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga kura yake ya kumchagua Mwenyekiti wa CCM, wakati wa uchaguzi huo katika Ukumbi wa Kizota mjini Dodoma leo.
 Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein, akipiga kura.
 Lowasa na Chizii, wakiingia kwenye viwanja vya Kizota leo asubuhi.
 Mwenyekiti wa UVCCM, Sadifa, akirandaranda katika viwanja hivyo akiwa analindwa na Walinzi (Bodguard)
 Wajumbe wakisebeneka.....
 Sehemu ya mandhari ya ukumbi wa Kizota....
 John Komba, akiimba jukwaani na kundi lake la TOT.
 Vicky Kamata. akiwasebenesha wajumbe jukwaani...
 TMK na TIP TOP Conection, wakishambulia jukwaa.
 Dogo  Aslay, akiwapagawisha wajumbe..
 TMK na TIP TOP Conection, wakishambulia jukwaa.
 TOT, wakiimba jukwaani.
 Sadifa, akiendelea kuranda katika viwanja hivyo akiwa na ulinzi mkali.
 Mjumbe wa NEC  
Rais akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Vyuo Vikuu.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.