Habari za Punde

*PEMIE FOOD CATERING WATOA MSAADA WA VYAKULA KWA YATIMA WA UMRI ORPHANAGE MAGOMENI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Yatima cha Umri, Rahma Kishumba,  kilichopo Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam kwa niaba ya watoto yatima wanao lelewa katika kituo hicho wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika jana kituoni hapo. Anayeshuhudia katikati ni Meneja wa Pemie, Fidelis Mgeni.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa watoto yatima wa Kituo cha Yatima cha Umri, Muhaji Yusufu na Sumaiya Ibrahim. Anayeshuhudia kulia ni Rahma Kishumba Mkurugenzi wa Kituo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya mapishi ya Pemie Food Catering, Jane Mjata (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Yatima cha Umri, Rahma Kishumba,  kilichopo Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam kwa niaba ya watoto yatima wanao lelewa katika kituo hicho. Makabidhiano hayo yaliyofanyika jana kituoni hapo. Anayeshuhudia (katikati) ni Meneja wa Pemie, Fidelis Mgeni.
Viongozi na wafanyakazi wa PEMIE FOOD CATERING wakipiga picha ya pamojabaada ya kutoa msaada. Kulia ni Humphrey Milinga kutoka A Plus Communication waratibu wa shughuli hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.