Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (Diaspora) waliowaalika kwa chakula cha mchana Ikulu ndogo mjini Dodoma Jumatano Novemba 14, 2012. Viongozi hao kutoka Marekani, Italy, India, Uingereza Afrika kusini na India walihudhuria katika Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM uliomalizika juzi Kizota. PICHA NA IKULU
WAKURUGENZI MBINGA DC NA TC WATEMBELEA BANDA MKOA WA RUVUMA MAONESHO YA
SABASABA.
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga (Mbinga DC) Joseph
Rwiza Kashushura, pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga
(Mbinga TC...
9 hours ago

No comments:
Post a Comment