Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania, Bw.Ibrahim Mukiibi,alipofika leo kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
VIONGOZI GEITA WATAKA USHIRIKIANO WA POLISI JAMII UDUMISHWE KUPUNGUZA
UHALIFU
-
Wananchi wa Mkoa wa Geita wametakiwa kuendelea kudumisha na kuimarisha
ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Polisi Jamii na wananchi, ili kupunguza
uhalif...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment