Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia Padri Ambrose Mkenda, wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae Zanzibar, leo Desemba 30, 2012 aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana na majeraha aliyoyapata kwa kujeruhiwa na risasi na watu wasiojulikana wakati akiwa getini akisubiri kuingia nyumbani kwake mjini Zanzibar hivi karibuni. Kulia ni Muuguzi mwangalizi wa mgonjwa huyo, Namsifu Fue.
WANAHABARI WAHIMIZWA KUONGOZA MAPAMBANO YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA
KUPIKIA TANZANIA
-
Na Janeth Raphael - MichuziTv
Waandishi wa habari na Maafisa Mawasiliano wa Serikali wametakiwa kutumia
nafasi yao ya kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhu...
25 minutes ago

No comments:
Post a Comment