Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi mabweni ya Wasichana katika shule ya sekondari ya Nachingwea leo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila,Mkuu wa Shule ya Wasichana Lindi Bi.Rahma Zedi (Wapili kushoto),Mkurugenzi wa wilaya ya Nachingwea,Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Bibi.Regina Chonjo na Mbunge wa Jimbo Nachingwea Bwana Mathias Chikawe.Picha na Freddy Maro
UKWELI KUHUSU TUME ZA KIJAJI: NI USHAHIDI WA KIHISTORIA UNAOWASHAWISHI
MARAIS KUCHUKUA HATUA KALI ZA KUBADILI MAMBO
-
Uundaji wa Tume za Kijaji nchini Tanzania umekuwa chombo muhimu na
madhubuti cha kisheria kinachotumiwa na Wakuu wa Nchi pale kunapojitokeza
malalamiko ...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment