Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Makaazi,Maji na Nishati,katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo,(kushoto) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif. Picha na Ramadhan Othman,IKULU.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, i...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment