RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungmza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,kupitia utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo mkutano uliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo,ikiwa ni muendelezo wa kufuatilia utendaji kwa taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Meridianbet Yahakikisha Mazingira Ni Salama Mbezi Juu
-
MERIDIANBET imeendelea kuthibitisha kuwa mchango wake hauishii kwenye
burudani ya michezo ya kubashiri pekee, bali unagusa moja kwa moja maisha
ya wan...
57 minutes ago
No comments:
Post a Comment