Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipima mti kujua upana wake baada ya kuzindua zoezi la sensa ya miti
(woody Biomass Survey) katika hifadhi ya Taifa ya msitu wa Jozani
jana,(kulia) Naibu waziri wa Kilimo na Maliasili, Mtumwa Kheir Mbaraka, na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Maliasili Affani Othman Maalim,(kushoto).Picha
na Ramadhan Othman Ikulu.
FANTA® Introduces New Berry Flavour in Tanzania
-
A new FANTA® flavour is adding a burst of deliciousness to the brand’s
portfolio in Tanzania with the launch of FANTA® Berry.
This bolder, fruitier tasti...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment