Ajali
mbaya imetokea eneo la ILEMI Jijini MBEYA muda huu ambapo gari aina ya TOYOTA
LANDCRUISER iliyokuwa ikitokea Wilaya ya Chunya, imegonga watu watatu na kufariki papo hapo na huyu ni
mmoja kati ya watu hao waliogongwa.
Serikali Yatoa Rai kwa NIT Kuzalisha Wataalamu wa Usafiri wa Kimataifa
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, Julai 24, akipata maelezo
wakati alipotembelea chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) jijini Dar es
Salaam l...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment