Msanii wa Filam nchini, Aunt Ezekiel, akinyoosha kidole kuzuia kamera ya sufianimafoto kumnasa, wakati akipata Supu ya asubuhi katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam jana, huku akiwa na mtoto wake mdogo.
JAB YAKEMEA UVUNJAJI WA SHERIA ZA AJIRA KATIKA SEKTA YA HABARI
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye
vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya...
7 hours ago

No comments:
Post a Comment