Habari za Punde

*ECOBANK WAJA NA HUDUMA KWA WATEJA BILA KUFIKA MATAWINI

 Mkurugenzi Mtendaji, wa wateja binafsi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi a habari kwenye mkutano uliofanyika leo mchana jijini Dar es Salaam, kuhusu upatikanaji wa huduma za kibenki bila kufika matawini nchini Tanzania Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo nchini, Enoch Osei-Safo na Mkuu wa Wateja wa binafsi na Wajasiriamali wa benki hiyo, Joyce Malei.
 Mshauri wa masuala ya mahusiano wa Ecobank, Daisy Mumbi, akiwatambulisha wakurugenzi wa benki hiyo kwa waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa mkutano huo wa utambulisho wa huduma hiyo kwa waandishi wa habari. 
Mkurugenzi Mtendaji, wa wateja binafsi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati) akiongozana na maofisa wengine wa benki hiyo wakielekea kwenye warsha iliyofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha na Mpiga Picha Wetu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.