Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha John Mongela, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo, kwa ajili ya kufunga mkutano wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza jana, jijini Arusha.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (kulia) akiangalia vikundi vya sanaa ya ngoma mbalimbali za utamaduni alipowasili katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Kilimnjaro (KIA).
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (kulia) akiangalia vikundi vya sanaa ya ngoma mbalimbali za utamaduni alipowasili katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Kilimnjaro (KIA). Picha Zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment