Ofisa Masoko wa Benki ya ABC Evelyne Auguste, akizindua mtandao wa http://www.ligikuu.co.tz/ utakaoandika habari za Ligi Kuu ya Vodacom, uliozinduliwa jana kwenye Hoteli ya JB Belmonte jijini Dar es salaam, kutoka kulia katika picha wanaoshuhudia tukio hilo ni Rodney Rugambo Meneja Masoko wa Push Mobale, Wawila Nzowa, Meneja Maendeleo ya Biashara kampuni ya Lajann E Systems na kushoto ni Dennis Rauya Meneja wa Benki ya ABC tawi la Quality Centre jijini Dar es salaam na Salum Mwalimu Meneja Mawasiliano wa Vodacom.
Kutoka kulia ni Rodney Rugambo, Wawila Nzowa, Evelyne Auguste na Dennis Rauya wakifuatilia maelezo ya mmoja wa wataalam wa mtandao huo wakati wa uzinduzi huo.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika uzinduzi wa mtandao huo.
Ofisa Masoko wa Benki ya ABC Evelyne Auguste akitoa maelezo juu ya udhamini wa benki hiyo kwa mtandao wa Ligi Kuu.
Rodney Rugambo Meneja Masoko wa Push Mobile akizungumzia udhamini wa kampuni hiyo kwa mtandao huo ili kuboresha mchezo wa miguu hapa nchini.
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salim Mwalim akiishukuru kampuni hiyo kwa kuanzisha mtandao huo ambao amesema utasaidia sana kutangaza mpira wa miguu nje ya nchi na kuwatangaza wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodacom.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Simbu Ateka Mitaa ya Jiji la Dar es Salaam
-
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-23%20at%2019.48.18]
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-23%20at%2019.48.19]
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-23%20at...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment