Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa, kuhusu picha ya watoto wa wakulima wa zao la zabibu wanaosomeshwa na kiwanda hicho, alipotembelea kuona utendaji wa kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi.
Naibu Waziri, Teu (katikati) akitembelea kiwanda cha Konyagi. |
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu (katikati) akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa bidhaa.
Wafanyakazi wa kiwanda cha Konyagi wakifungasha viroba vya konyagi kiwandani hapo.
Mtaalamu wa Upishi wa Bia, Kelvin Nkya akimuonesha kompyuta inatumiwa kupikia bia katika kiwanda cha TBL Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Martine Calvin (katikati) jinsi bia inavyopikwa kitaalamu alipotembelea kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi.
Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa TBL, Emma Oriyo akizungumza wakati wa kumkaribisha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu
Mena wa Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam, Martine Calvin (kulia) akimpatia zawadi Naibu Waziri
Calvin akimpatia zawadi msaidizi wa waziri, Gregory Teu
Naibu Waziri Gregory Teu (wa tano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa TBL
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kiwanda cha Konyagi cha TDL, Joseph Chibehe (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri, Teu.
Mkurugenzi wa Miradi Maalumu wa TBL, Phocus Lasway akielezea mafanikio na changamoto zinazoikabili kampuni hiyo. |
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Viwanda wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Kilabuko akizungumza na wafanyakazi wa TBL walipomaliza ziara.. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO
No comments:
Post a Comment