Timu za Azam Fc ya jijini Dar es Salaam, leo jioni inashuka dimbani katika Uwanja wa Aman, mjini Zanzibar kukutana na timu ya Tusker ya Kenya katika mchezo wa Fainali za Kombe la Mapinduzi, baada ya timu ya Azam kuiondosha mashindanoni timu ya Simba na Tusker kuindoa timu ya Miembeni ya Pemba katika mchezo wa Nusu Fainali wa Kombe hilo. Mwamuzi wa fainali hizo ni Dakika 90 leo.
HATIFUNGANI YA iTRUST YAVUNJA REKODI YA MAFANIKIO KULIKO HATIFUNGANI ZOTE
-
OFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) CPA.
Nicodemus Mkama amesema mafanikio ya asilimia 760.78, yameifanya
Hatifungani ya...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment