Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete, akiwatoka mabeki wa Tanzania, Prisons, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mzunguko wa pili, unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam., ambapo Jerry, ameifungia timu yake bao la 3 katika dakika ya 82.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, i...
9 hours ago

No comments:
Post a Comment