

Mwili ukipakiwa kwenye gari.

Waumini wakiomba dua kabla ya kuondoka na Mwili wa Marehemu kwenda mazikoni.

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Saimon Mwakifwamba (katikati) akimpokea Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe alipokuwa akiwasili msibani hapo.
![]() |
Sehemu ya waombolezaji kina mama waliohudhuria shughuli hiyo ya msiba nyumbani kwa marehemu Tabata. |


Waombolezaji wakiwa Msibani mapema asubuhi ya leo.

![]() |
Mvua nayo ilisumbua kidogo eneo hilo la msiba, kama wanavyoonekana waombolezaji wakijifunika tulubai kujikinga na mvua iliyoanza kudondoka ghafla. |


Pamoja na kwamba kulikuwa na Mvua kubwa lakini hakuna mwombolezaji hata mmoja aliyeondoka eneo hilo kabla ya kumalizika kwa shughuli hiyo hadi mwili ulipoondoka eneo hilo.

Mwili ukiondoka nyumbani, huku ukiongozwa na Pikipiki ya askari wa usalama Barabarani kuelekea msikitini na baadaye Makaburini.
mwenyez mungu akueke mahali pema palipo na wema peponi sajuki na mwenyez mungu ampe subra mkeo wastara na uvumilivu katika maisha yake ,pamoja na mwanao mchanga ambae hatamjua baake labda kwenye picture tu maskini umeacha yatima ...mungu ampe subra inshallah
ReplyDelete