Habari za Punde

*TAASISI YA THE JOHN MASHAKA YAWAKUTANISHA WAANDISHI NA WATU WENYE ULEMAVU KUJADILI CHANGAMOTO MBALIMBALI

Katibu wa Taasisi ya The john mashaka, Rabia Bakari, akiungumza wakati akifungua rasmi mkutano wa waandishi wa habari na wawakilishi wa vyama vya watu wenye ulemavu uliokuwa ukijadili kwa pamoja kuhusu ustawi wa wenye ulemavu na wengine wasiojiweza.
Baadhi ya watu wanaotafsili lugha za alama wakiendelea na kazi hiyo wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya wawakilishi wakisikiliza kwa umakini.
Mwenyekiti wa TUSPO, Ellezer Mdakima (kushoto) akizungumza wakati wa mkutano huo wengine (kulia) ni Mjumbe wa Taasisi ya The John Mashaka, Latifa Masasi na Katibu wa taasisi hiyo, Rabia Bakari.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.