Wapenda, kheri ya mwaka 2013.
Nasikia mafunzo ya JKT yanarejeshwa ili kuwapa uzalendo Watanzania. Sina hakika, lakini nadhani hawa wote walipita, ama JKT, au Magogoni. Kama hivyo ndivyo, sioni JKT mpya itakuja na jipya gani zaidi ya kutufunza matumizi ya silaha!
Kwangu mimi, sina jema la kujifunza kwa yaliyopita na yajayo, inabidi busara na hekima zitumike vyema ili kuenzi maneno na vitendo vya Mwalimu Nyerere kwa vitendo thabiti na si kuoneana aibu katika kuwajibishana.
Manyerere
Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment