Habari za Punde

*WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ALIPOTOA MAONI YA KATIBA MPYA JANA

 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (wa pili kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya fomu maalum zinazotumika kutolea maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda (wa pili kushoto) wakati alipotembelea vitengo mbalimbali vilivyopo katika ofisi za Tume hiyo jana (jumatano januari 23, 2013) Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (wa nne kutoka kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu utayarishaji wa maoni ya wananchi katika taarifa rasmi (Hansard) kwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda( wa tatu kutoka kulia) wakati alipotembelea vitengo mbalimbali vilivyopo katika ofisi za Tume hiyo jana (jumatano januari 23, 2013) Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu waTume, Bw. Casmir Kyuki na Makamu Mwenyekiti, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani. PICHA NA TUME YA KATIBA

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.