Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (kulia)akimfafanulia jambo Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati) kuhusu takwimu za Kilimo na uchumi. Kushoto kwa waziri Mkuu ni Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akipokewa na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu mara baada ya kuwasili katika ofisi hiyo kuangalia shughuli mbalimbali zinazofanywa na Ofisi hiyo jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimweleza jambo Meneja wa Takwimu za Kilimo Bi. Joyce Urassa alipotembelea Ofisi ya Taifa ya Takwimu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika Picha ya Pamoja na viongozi na watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu mara baada ya kukamilisha ziara yake.Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
No comments:
Post a Comment