Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kulia) akijaribu kumhadaa beki wa Black Leopard, Ernort, wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kirafiki, unaoendeea muda huu katika Uwanja wa Taifa. Hadi sasa Yanga inaongoza kwa mabao 3-1, bao la pili la Yanga limefungwa na Frank Dumayo na bao la tatu limewekwa kimiani na Jerry Tegete katika kipindi cha pili.
MWANAFA AFUNGA UMITASHUMTA, AELEZA MKAKATI WA SERIKALI
-
📍 Bilioni 15 kukamilisha ujenzi akademia ya michezo Malya
NA Mashaka Mhando, Iringa
SERIKALI imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 15 katika mwaka wa fedha...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment