Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na msanii wa muziki wa Taarab, Aisha Mashauzi, baada ya kumkabidhi kitambulisho cha Taifa, wakati wa uzinduzi wa zoezi la kukabidhi vitambulisho vya Taifa jana mjini Zanzibar. Mashauzi ni miongoni mwa wananchi kutoka Tanzania Bara waliopewa vitambulisho vyao katika hafla ya utoaji wa Vitambulisho vya Taifa,kwa mara ya kwanza kwa Upande wa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Malasusa:Lipeni kodi kwa furaha kwa maendeleo ya nchi
-
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Askofu wa
Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Askofu Dk. Alex Malasusa, amewahimiza
waumini kulip...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment