Wanenguaji wa bendi ya Extra Bongo, wakipozi kwa 'Snap' mbele ya kamera ya Mafoto, ambapo bendi hiyo leo imejipanga kufanya mashambulizi ya kukonga mashabiki wao katika Ukumbi wa Garden Breeze, jijini.
IVORY COAST NA CAMEROON NGOMA DROO, ZAFUNGANA 1-1 MOROCCO
-
TIMU za Ivory Coast na Cameroon zimegawana pointi baada ya sare ya
kufungana bao 1–1 katika mchezo wa Kundi F Fainali za Kombe la Mataifa ya
Afrika (AFC...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment