Habari za Punde

*BONANZA LA EXTRA BONGO LAZIDI KUBAMBA GARDEN BREEZE MAGOMENI

 Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky, akiimba jukwaani wakati wa Bonanza la kila jumapili linalofanyika Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam.
 Rapa wa Bendi ya Extra Bongo,Frank Kabatano, akishambulia jukwaa wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Bonanza la kila jumapili Magomeni Garden Breeze jijini Dar es Salaam.
 Wanenguaji wa Bendi ya Extra Bongo wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Bonanza la kila jumapili Magomeni Garden Breeze jijini Dar es Salaam.
 Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela (kulia) na Danger Boy, wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Bonanza la kila jumapili Magomeni Garden Breeze jijini Dar es Salaam.
  Wanenguaji wa Bendi ya Extra Bongo wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Bonanza la kila jumapili Magomeni Garden Breeze jijini Dar es Salaam.
  Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela (kushoto) na Danger Boy, wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Bonanza la kila jumapili Magomeni Garden Breeze jijini Dar es Salaam.

'Mkaanga chips' wa Bendi ya Extra Bongo,Martine Kibosho, akiwajibika wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Bonanza la kila jumapili Magomeni Garden Breeze jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.